SIFA ZA KUJIUNGA:-
1. VOCATIONAL TRAINING COURSES
I. SHORT COURSES (KOZI ZA MUDA MFUPI )
1. Computer application
2. English Course
3. Arabic Language
4. Sign Language
5. French Language
SIFA ZA KUJIUNGA
- Ni mtu yeyote anayependa kujifunza Arabic, English, French na kutumia computer anapokelewa.
II. VTA LONG COURSES (KOZI ZA MUDA MREFU)
1.Information and Communication Technology (ICT )
2. Business operating Assistance ( BOA)
3. Secretary (awe na angalau "D" MBILI(2) za form4)
4. Clearing and forwarding
SIFA ZA KUJIUNGA BOA, CLEARING AND FORWARDING AND ICT KWA LEVEL 3
- Awe na kuanzia andalau "D" MBILI (2) za form4
- Awe amehihitimu NVA level 2
SIFA ZA KUJIUNGA BOA, CLEARING AND FORWARDING AND ICT KWA LEVEL 1 AND 2
- Awe amehitimu Kidato cha 2 au darasa la 7 au amehitimu Kidato cha 4
- Hii ni ngazi ya kumuandaa mwanafaunzi ili apate sifa za kuanza cheti NTA LEVEL 4.
2. NACTVET
I. COMMUNITY DEVELOPMENT
SIFA ZA KUJIUNGA
- Cheti cha kumalizia masomo kidato cha sita (Form VI) chenye angalau "S" Mbili.
- Cheti cha kumalizia masomo NTA Level 4 kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali au NACTVET.
- Cheti cha kidato cha nne chenye ufaulu wa kuanzia "D" nne(4) isipokua ya dini.
II. PROCUREMENT &SUPPLY, LAW & BUSINESS ADMINISTRATION CERTIFICATE AND DIPLOMA
SIFA ZA KUJIUNGA
- Kwa certificate ni kuanzia "D" NNE(4) za form four ispokua ya dini.
- Kwa diploma, awe amehitimu NTA LEVEL 4.
3. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI (WEMA)
I. CERTIFICATE IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION
SIFA ZA KUJIUNGA
- Awe na "D" NNE(4) za kumalizia masomo kidato cha nne (FIV).
II. DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION
SIFA ZA KUJIUNGA
- Awe na "C" MBILI(2) na "D" TATU(3) za kumalizia masomo kidato cha nne (Form IV) na kuendelea au
- Cheti cha kumalizia masomo kidato cha sita (Form VI) chenye angalau "S" Mbili au
- Awe na cheti cha ualimu cha certificate in early childhood education.
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA 0714149017, 0776206342 AU 0757424381